Shabaha kuu ya mafundisho ya YESU ni kuleta Ufalme wa Mbinguni katika Taifa lake teule na kisha katika Ulimwengu mzima kwa njia ya hili Taifa kama ulivyokuwa utawala wa Kiisraeli katika Agano la kale.
Watakatifu ndio raia wa ufalme huo, na Mungu ndiye Mfalme wao kweli. Hao ni raia wake kwasababu utawala wake wataukubali katika kumjua na kumpenda.
Ufalme huo ulitetereka kwa dhambi ya Adamu. Na sasa imempasa Mungu Mwenyezi kuutengeneza upya katika Masiya wake.
Danieli2:28a "Lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri," Ndiyo sababu Yesu anatangaza sasa kama alivyofanya Yohana Mbatizaji, ya kuwa Mungu amekwisha jitia kati yao. Mt 3:2 "wakamvizia ili kuona kama atamponya siku ya Sabato, wapate kumshitaki"~
Jumanne, 20 Machi 2018
UFALME WA MBINGUNI
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni